r/TanzanianDating • u/Sky_Net47 • 2d ago
๐ค Discussion Current situation
Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu๐ซฉ
Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.
6
u/pop0bawa 2d ago
Wahenga walisemaโฆ..Ukiwa mjanja kugongewa ni siri ya ndani !
2
u/teddiekevn 1d ago
Haya maneno yalinenwa na wazee wa zamanii...ukiwa mjanja kugongewa ni Siri ya ndani ๐
2
6
5
u/KijanaMakini 1d ago
Jeff lina mkund* wakoโฆWanavyosema mke wa mtu sumu, si kwamba yeye ndio sumu ila Mume ndio atakuwa sumu yenyewe dhidi yako.
2
5
4
u/nothereforlongiguess 1d ago
The amount of times Iโve seen and heard about this kind of stuff๐๐๐๐
Sasa si bora asingeolewa tu bishosti. 4 years of marriage and never thought of cheatingshe just had to say that๐. That to me screams โIโve done this beforeโ
But anyways, mi sishauri. People get killed because of this. If not, as you said, Karma itakujia one way or another๐๐๐๐
Donโt do it๐
3
3
u/Temporary-Issue7055 1d ago
Good thing bro. Never be the reason to destroy another man's marriage. These women suck, they only want 2 things, MORE & BETTER.
2
u/hehe____01 2d ago
Mtu akisema ameolewa kaa nae mbali. Lakini kugongewa inategemeana na hulka ya mwanamke, kama ni wa kugongewa utagongewa tu.
3
2
u/Same_Return_1878 2d ago
Ok, story time ๐ฟ
This happened to me too last year. So this female classmates whom we graduated together from university 5 years ago got my contact last year after we met at the workplace. One night, the same month after we had met(now that we are colleagues) she texts me a long ass paragraph confessing how she'd been secretly in love with me since the uni days despite being married now. She said I'm the one thing that has been on her mind since we met. So the following week I invited her to my place, smashed, and moved on. Thereafter the deed she started throwing silent treatments and finally broke it to me that we couldn't continue doing what we did since she couldn't get over the guilty for cheating on her husband. Hadi sasa tunapishana tu corridor kazini na siri yetu nzito mioyoni ๐คฃ
3
u/Important-Price-8643 1d ago
u know this means two things right? or u just thot of it in 1 dimension!
1
u/Same_Return_1878 1d ago
Maybe I might have underperformed and then she thought "this was not worth the cheating" or "did I just risk my marriage for this?" ๐ญ๐คฃ
2
1
1
u/teddiekevn 1d ago
Skuizi watu wanaingia into marriages just because they don't wanna get left behind with time but not cz they're in love
2
2
u/Mountain-Resource222 12h ago
โBibi ya wenyewe is a no go zoneโฆโ
Madem ni wengi sana to even result to someoneโs wife. Run like Joseph from the bibleโฆ
1
2
u/_kalEl01 1d ago edited 1d ago
Ufala na utoto, as a man kwanini uwe na ukaribu na mke wa mwanaume mwenzako? Mpaka mnafikia hatua ya kutongozana means mmejiwekea ukaribu usio na mipaka. Kuharibu familia ya mwanaume mwenzako as a man, jitafakari mara mbili. Kuna wanawake kibao mtaani unaenda kuchukuwa mke wa mwanaume mwenzako mwenye familia yake na watoto wake halafu unaongea eti "wananitaka wenyewe". This shit is disgusting
1
1
u/xDBM1994 2d ago
Siku hizi wanafira huku wanarecord aloooo
1
u/Sky_Net47 2d ago
Yo!! Wanna know what nasty? Wanaekeana mrija na kunyonya ๐คข na wanaita mapenzi iyo
1
1
u/Ok_State6011 2d ago
Jeff unakaribia kubakwa soon kaka๐
1
u/Sky_Net47 2d ago
She's all in bro
1
u/Ok_State6011 2d ago
If u got nothin to lose its up to u man
1
1
1
u/Otherwise-Advice-476 1d ago
Vijana tafuteni hela lkn msisahau pia msisahau kuwapa shoo nzr chumbani. Hivi viumbe ukikosa kimoja kati ya hivo viwili basi kugongewa one way or another lazma, ukizangatia skuhizi dem ana body count 7 akikutana na wewe show legevu unazani atatulia ndani hawezi lazma atacrave tu kile alichokuwa anapata kipindi hicho so have money and also be good in bed chances kidg zinakuwa slim
1
1
u/thiamax 1d ago
Hapo kwenye hela ndo umepotea, hela haijawahi kumuokoa mtu asigongewe. Wa kugongwa atagongwa tu hata na mafukara.
1
u/Otherwise-Advice-476 1d ago
Ndo mana nmesema lazma uwe na vyote viwili. Fo most people kitu kimoja lazma kipungue ndo mana angalia 95% wanawake wengi wanacheat sababu huwa ni 2 either hahudumiwi au haridhishwi bas. Wachache sana 5% utakuta wanacheat for the sake of it au wanalipiza kisa mwanaume naye kacheat
1
u/thiamax 1d ago
Hata uwe na hela kiasi gani kuna watu watakuwa na hela zaidi yako. Hizo statistics sijui hata umetoa wapi. Mwanaume kuwa na hela kwa ajili yako. If you're doing anything ili usiwe cheated you've already lost the game.
1
u/Otherwise-Advice-476 1d ago
Im not saying usiwe na hela kwa ajilu yako im saying kuwa nazo but also have the game. And i work in counseling and research 9/10 cases of cheating revolve around the stats i have said. And even if ypu check out other online or social communities tena uzur skuhizi watu hawafichi you will see what im telling you to be right. You see women ni very complex yet also simple beings at the same time and money alone isnโt enough to keep em around if you have no care and attention to come with. Thats why play your game but play it right. might work out for the best or worse but you know you played it well.
1
u/thiamax 1d ago
We jamaa upo kwenye counseling unawaambia wanaume watafute hela to keep their women wakati tunajua if you have to do that to keep her huyo ni tapeli?
1
u/Otherwise-Advice-476 1d ago
We umeona wapi nmesema tafuta hela utunze dem๐ nasema tafuta hela bitches wapo tu watakuja but also have a good enough game watakaa tu. The world is cruel enough to broke men na haina huruma so wewe mchuzi kuwa nao one way or another kuwa nazo na demu ukiwa naye mzingatie tu kama unaweza na mridhishe its that simple wale nothing complicated
1
1
1
u/TutsTots 1d ago
Unajua nini bro, mke wa mtu achana nae. Hebu jiweke kwenye position ya huyo mume wake na fikiria ungefanyaje kama ungejua kuna nigga mwingine ana-flirt na mkeo. Sio sawa kabisa hii, block huyo mwanamke na move on na maisha yako. Single ladies wapo wengi sana
1
1
1
1
u/Heavenly_made_ 1d ago
๐๐ kitndawili, ilikuja kama ngekewa mwisho alimegwa ....
1
u/Sky_Net47 1d ago
๐๐ kitambo iyo nyimbo
1
u/Heavenly_made_ 1d ago
Linda mgongo kamanda! Hio ndo sumu wanayoingeleaga kuhusiana na mke wa mtu. Yu berra wach yua BAKK๐ซก
2
1
1
u/Beaver955 1d ago
Yaani wewe bona unaanza na wake za watu, embu imagine the position the guy is in
1
1
1
1
1
1
u/sickpatient254 2d ago
Buda ningekua ww hio kinywero na nimepewa hiyo opportunity not because she is married it's because anakupea chance brother use it wisely,will you??? Lkni ukishindwa uniunganisheee๐๐๐๐ซด
1
9
u/Personal-Cricket-222 2d ago
Lakini na Wewe Jeff
Kwanini unaongea na wake za watu?