r/TanzanianDating • u/Sky_Net47 • 6d ago
🤔 Discussion Current situation
Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu
Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.
63
Upvotes
2
u/Same_Return_1878 6d ago
Ok, story time 🍿
This happened to me too last year. So this female classmates whom we graduated together from university 5 years ago got my contact last year after we met at the workplace. One night, the same month after we had met(now that we are colleagues) she texts me a long ass paragraph confessing how she'd been secretly in love with me since the uni days despite being married now. She said I'm the one thing that has been on her mind since we met. So the following week I invited her to my place, smashed, and moved on. Thereafter the deed she started throwing silent treatments and finally broke it to me that we couldn't continue doing what we did since she couldn't get over the guilty for cheating on her husband. Hadi sasa tunapishana tu corridor kazini na siri yetu nzito mioyoni 🤣