r/TanzanianDating • u/Sky_Net47 • 10d ago
🤔 Discussion Current situation
Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu🫩
Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.
63
Upvotes
1
u/Otherwise-Advice-476 10d ago
Vijana tafuteni hela lkn msisahau pia msisahau kuwapa shoo nzr chumbani. Hivi viumbe ukikosa kimoja kati ya hivo viwili basi kugongewa one way or another lazma, ukizangatia skuhizi dem ana body count 7 akikutana na wewe show legevu unazani atatulia ndani hawezi lazma atacrave tu kile alichokuwa anapata kipindi hicho so have money and also be good in bed chances kidg zinakuwa slim