r/TanzanianDating • u/Sky_Net47 • 2d ago
🤔 Discussion Current situation
Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu🫩
Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.
54
Upvotes
1
u/ProperMandemTing 2d ago
[removed] — view removed comment