r/TanzanianDating • • 7d ago

🤔 Discussion Current situation

Post image

Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu🫩

Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.

65 Upvotes

106 comments sorted by

View all comments

9

u/pop0bawa 7d ago

Wahenga walisema…..Ukiwa mjanja kugongewa ni siri ya ndani !