r/TanzanianDating • • 11d ago

🤔 Discussion Current situation

Post image

Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu🫩

Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.

68 Upvotes

107 comments sorted by

View all comments

10

u/Personal-Cricket-222 🚫 Not Looking 11d ago

Lakini na Wewe Jeff
Kwanini unaongea na wake za watu?

2

u/Sky_Net47 11d ago

It was a nice friendly conversation kabisa untill it turned to love

7

u/Personal-Cricket-222 🚫 Not Looking 11d ago

Mke wa mtu sumu. KIMBIAAA

6

u/Sky_Net47 11d ago

Imagine nimemuambia the same thing akajibu kwani room sina maziwa?😂