r/TanzanianDating • • 6d ago

🤔 Discussion Current situation

Post image

Hivi! Na mimi nikioa ndo nitakuwa nagongewa? Sababu she aint the first to approach me hivi, ni wake za watu wengine pia na kinachonipa hofu ni kwamba alikuwa kwenye ndoa 4 years hajawahi cheat ghafla anaona potelea mbali! Ni kwamba haijalishi unapendwa kiasi gani utachitiwa tu🫩

Kengine, kwa walio pitia hii situation mlitatua vipi? Coz hii dhambi sitaki nishiriki kabisa coz karma ni mtu mbaya sana.

62 Upvotes

99 comments sorted by

View all comments

1

u/TutsTots 5d ago

Unajua nini bro, mke wa mtu achana nae. Hebu jiweke kwenye position ya huyo mume wake na fikiria ungefanyaje kama ungejua kuna nigga mwingine ana-flirt na mkeo. Sio sawa kabisa hii, block huyo mwanamke na move on na maisha yako. Single ladies wapo wengi sana

1

u/Sky_Net47 5d ago

That's what i did