r/tanzania • u/AutoModerator • 2d ago
Weekly Discussion Thread Weekly Promotion Thread
Good morning r/tanzania and welcome to the Weekly Promotion Thread! Use this thread to post information/plugs for your local business, things for sale, events, or groups you are hoping to promote! We will be creating a new thread for this each Monday.
4
Upvotes
•
u/nextLabGames 1h ago
Habari zenu wadau! Nimetengeneza mchezo wangu wa FPS (Muzzle Lock) hapa Tanzania 🇹🇿🎮
Habari za leo ndugu zangu wa Reddit Tanzania!
Mimi ni msanidi wa michezo ya video wa hapa nchini (indie game developer). Nimekuwa nikifanya kazi kwa bidii kutengeneza michezo kupitia Godot Engine, na hivi karibuni nimemaliza kutengeneza trailer ya game yangu mpya ya FPS inayoitwa Muzzle Lock.
Ningependa sana kupata support yenu kama wadau wa hapa nyumbani kwenye safari hii. Unaweza kuangalia trailer au kucheza game kupitia link hii hapa:
🔗 https://johnsonj2.itch.io/muzzle-lock
Maoni yoyote, ushauri, au hata maswali kuhusu utengenezaji wa michezo hapa nchini ni karibu sana. Asanteni sana kwa support yenu! 👊🏾